William Ruto2:21
Karibuni sana. Mimi nilikuwa ni mwisho ya dunia huko mahali ingine, so mimi nimefurahi sana mmefika, na karibuni. Najua wengi wangependa kukuja lakini of course usafiri, masaa, magari imewazuia wale wengi, lakini wale waliofika hapa mmefika kwa niaba ya wale wengi ambao wako nyumbani. Na mimi nitachukua nafasi yangu nikuje niishi huko Marsabit. Unajua, Marsabit sio mahali pa kuja siku moja na kurudi, unakuja unakaa huko, na niko na hiyo mpango. Kwanza, mimi mbali na kusema karibuni hapa, nataka niwashukuru sana kwa urafiki wenu, ushirika wenu, na kwa kura mliyonipatia nikawa Rais wa Kenya. Mimi narudia tena na tena nikisema asanteni sana kwa kura zenu. Na niwahakikishie ya kwamba mimi nitafanya bidii ili kura mliyonipatia iweze kuwa faida kwenu na faida kwa wananchi wa taifa letu la Kenya. Na sababu hiyo ndio nimebadilisha mambo mengi. Nataka tu niwaambie mambo matatu ama manne, alafu niseme mambo ya Marsabit, alafu niwaeleze vile tutasonga mbele pamoja. Ya kwanza, mlinipatia nafasi wakati tulikuwa na matatizo makubwa sana ya uchumi. Tulikuwa na madeni kibao. Tukawa na matatizo ya inflation, tukawa na matatizo mengine mengi. Lakini mimi nilikuja hapa nikaketi chini na wale ambao niliwapatia nafasi ya kushirikiana na mimi katika uongozi wa Kenya. Tukarekebisha mahali kulikuwa na matatizo. Tukapunguza madeni ambayo yalikuwa yanakopwa kila wakati. Tukashukisha maneno ya inflation nchini. Leo nikisimama mbele yenu hapa, uchumi ya Kenya iko mahali pazuri kuliko vile ilivyokuwa 2022. Kwa wale ambao nyinyi ni wasomi, and I say this without fear of any contradiction. Kwa wale ambao nyinyi ni wasomi, 2022 Kenya ilikuwa imeorodheshwa kati ya nchi ambayo itashindwa kulipa madeni yake, among six countries that were expected to default on their foreign financial obligation. Lakini mimi nilisema nikiwa Rais wa Kenya, it will not happen. Na Mungu ametujalia. Kwa nchi sita ambazo zilikuwa zimeorodheshwa ya kwamba itashindwa kulipa madeni, ni Kenya yake out of the six. Five countries defaulted. It's only Kenya that is not default. And today, uchumi yetu leo tumefanya bidii. It is the sixth largest economy in Africa. We have reduced inflation. We have reduced exchange rates. Dola ilikuwa 160 something, sasa dola ni 129. We have made sure our economy is stable. Pesa ambayo tuko nazo za kigeni, ile inaitwa Foreign Exchange Reserves, ilikuwa bilioni 5.7, leo ni bilioni 13 ambayo tuko nayo. So uchumi ya Kenya is more stable than we were in 2022, and that is the correct position. Na ni kwa sababu niliwaeleza tutapanga mambo ya uchumi, kwa sababu tusipopanga mambo ya uchumi, Kenya itaenda mahali ambapo si pazuri. Jambo la pili, niliwaeleza vile vile ya kwamba nitapangana na mambo ya kilimo. Nyinyi mnajua, wakati nimechaguliwa watu walikuwa hapa kwa street wanatembea na sufuria kwa kichwa wakisema bei ya unga. Nyinyi mli pengine hamkusikia kwa sababu mko mbali, hapa street kulikuwa na balaa kubwa. Unga ilikuwa 250 per 2 kg, nini matatizo. Na mimi nikawaeleza ya kwamba njia ya kuhakikisha kwamba kuna chakula katika taifa letu la Kenya ni kubadilisha ama kutransform mambo ya kilimo, sio kusubsidize ile inaitwa consumption, lakini ni kusubsidize production. Bei ya mbolea tukapunguza. Wakora wale walikuwa wanatusumbua na mambo ya utapeli, brokers ambao walikuwa wamekuwa ndio wenyewe kule kwa makampuni ya sukari, kule kwa kahawa, kule kwa chai, tukawaondoa. Tukahakikisha kwamba kila mkulima tumemsajili. Leo, leo katika taifa letu la Kenya tumeongeza mapato yetu ya chakula. Mahindi tumeongeza kutoka magunia ya milioni 40, sasa tumefikisha milioni 70. Kahawa iliyokuwa inauzwa shilingi 50 kwa kilo, leo inauzwa 120. Ile makampuni ya chai, ile makampuni ya sukari ambayo ilikuwa imekwama, tumezikwamua. Kampuni hizo sasa zinaendelea, na kufikia miaka miwili mitatu, badala ya Kenya kuagiza sukari kutoka nje, tutakuwa tunauza sukari kutoka Kenya. So we have transformed our agricultural sector. Today we can confidently say as a nation we are well on course towards being a food secure nation. We are increasing our exports of tea. We are increasing our exports of coffee. Um, mimi nimetoka leo asubuhi Europe kupanga na wale ambao wananunua chakula yetu ama vifaa yetu. Wale wananunua kahawa, wale wananunua chai, wale wananunua maua na horticulture. Na tumekubaliana na wao vile tunasonga mbele. Mnajua, watu wa Finland, mahali nimetoka leo asubuhi, ndio wananunua ama ndio wanakunywa kahawa number one in the whole world. Belgia, mahali nilikuwa juzi, ndio nchi ambayo inanunua kahawa ya Kenya. The highest today is Belgium, and it is good for us to engage with them so that we can secure our markets. So tunaendelea namna hiyo, na hiyo ndio kazi yangu kuhakikisha ya kwamba Kenya inaheshimika na Kenya inafanya biashara kila sehemu ya dunia hii yetu. Ya tatu, tulikubaliana mambo ya elimu. Nyinyi mnajua ya kwamba elimu ndio jambo la muhimu kuliko mambo yote. Ndio inatuletea usawa, watoto wa maskini na watoto wa tajiri wanakuwa sawa wakipata elimu. Tulikuwa na matatizo matatu 2022 kwa mambo ya elimu. Tulikuwa na upungufu ya walimu zaidi ya 116,000. Tulikuwa na madarasa chache. Funding model ya watoto wetu ilikuwa chini, na tulikuwa na shida ya CBC. Mimi nimefika hapa ofisini kwa kura zenu na kwa maombi yenu. Na haya mambo manne ambayo yalikuwa yanatusumbua tumeyatatua. Number one. Tumeajiri walimu 100,000 in the last 3 years. Sikizeni watu wa Marsabit. Hakuna serikali imeajiri walimu 100,000 in 3 years tangu independence. In other words, kwa wale walimu tuko nao 400,000 Kenya, a quota 100,000 tumewaajiri in the last three years. Why? Sababu gani tumefanya hivyo? Kwa sababu elimu ni ya muhimu. Ndio inatuletea usawa. Kila mtoto wa Kenya aende shuleni, lazima apatane na mwalimu. Tumejenga madarasa 23,000 kuhakikisha kwamba there are enough learning spaces. Tumehakikisha ya kwamba ile funding model ya watoto wetu inajali kila mtoto wa Kenya. Hata wale watoto kutoka jamii maskini wanapata nafasi sawa wakienda university, wakienda TVET, kwa sababu tumeongeza pesa ya kusomesha watoto wetu. Budget jana ilisomwa. Jana bajeti ilisomwa. Pesa ambayo tumeongeza ya watoto wetu kusoma in 2022 ilikuwa bilioni 500. Bajeti iliyosomwa jana ni bilioni 767 ambayo tumeongeza kuhakikisha kwamba watoto wetu wanasoma. Saa zingine unasikia watu wengine wanasema oh there is a crisis in education. You know you wonder, how is there crisis in education today when we have hired 100,000 teachers, when we have increased the budget of education from 500 million to 767 million, when we have built an additional 23,000 classrooms, when we have straightened the CBC into now a competence-based education and training, and when we have enhanced our budget for our university education especially help from 18 billion shillings to 56 billion shillings. You know, people must be honest and must be truthful. Hiyo kiwanja ya elimu tumeinyorosha vizuri, kwa sababu mimi naamini ya kwamba hatutaki hata mtoto mmoja Kenya akose nafasi ya kusoma. Na mimi nawauliza nyinyi watu wa Marsabit kwa heshima kubwa. Nyinyi kama wafugaji, tafadhali tunaweka pesa nyingi sana kusomesha watoto wetu. Usikubali wewe kama mzazi. Watoto wengine wanaenda shuleni, mtoto wako umeenda umemwambia aende achunge mbuzi, aende achunge ng'ombe, aende achunge ngamia. Hiyo unajirudisha nyuma na unarudisha nyuma taifa letu la Kenya. Kila mtoto awe shuleni, na tumeamrisha chiefs, assistant chiefs, wazee wa mitaa, na kuanzia mwezi huu wa saba, hata wale wazee wa nyumba 10 sasa tutakuwa tunawapatia marupurupu kidogo ndio waweze kusukuma maneno ya serikali na kuhakikisha ya kwamba watoto wetu wote wako shuleni. Mimi vile vile niliwaahidi ya kwamba tutabadilisha mfumo wetu wa matibabu. Pale nyuma, matibabu ilikuwa imeanza kuwa starehe ya watu wenye wako na kazi, wale wako na ajira, wale wako na uwezo. Ili hali kila mtu anakuwa mgonjwa. Ndio nikasema tunabadilisha mfumo wa mambo ya matibabu. Tunataka kila Mkenya apate nafasi ya kutibiwa. Pale nyuma kulikuwa na mipango ya NHIF. NHIF ilikuwa ni lazima uwe na kazi, lazima uwe na pesa, lazima uwe uko na uwezo wa kulipa. Leo nimesema kila Mkenya asajiliwe ndani ya SHA, na pesa. Awe na kazi asiwe na kazi, awe na uwezo asiwe na uwezo. Kila mwananchi wa taifa letu la Kenya. Katiba ya Kenya inalazimisha serikali kuhakikisha ya kwamba kila Mkenya anapata nafasi ya kutibiwa. Sio lazima uwe na kazi. Sio lazima uwe na uwezo, sio lazima uwe na pesa. Ni haki yako kama Mkenya kupata matibabu. Na mimi nimefurahi tumeungana na counties, tumeungana na wale wengine wote other stakeholders. Leo, wale watu waliokuwa wamesajiliwa ndani ya NHIF watu milioni nane, leo tumefikisha watu milioni 31 waliosajiliwa katika bima ya afya. Na nia yetu ni kuhakikisha ya kwamba hakuna Mkenya tena atauza shamba yake, ng'ombe yake, ngamia yake, mbuzi yake ati kwenda kulipa gharama ya hospitali. Tunataka gharama ya hospitali ilipwe na bima ya afya inayosimamiwa na serikali. Nyinyi mnanielewa jameni? Na ndio mimi nataka niwaulize, kila mmoja wetu najua bado kuna mahospitali zingine huko kando kando bado wanauliza pesa wananchi, na ndio tumesema wewe kama mwananchi ujue, na nimesema hapa sio leo sio mara moja, ya kwamba afya ni haki ya kila Mkenya, na hakuna Mkenya atanyimwa nafasi ya kutibiwa ama dawa kwa sababu hana pesa, kwa sababu hiyo gharama inalipwa na serikali ya Kenya. So mimi nataka nimuulize gavana wetu na viongozi wengine wote, bado watu wengi wa Marsabit hawajajiandikisha kwa SHA. Bwana, ukienda kaunti kama ya Mombasa, 85% ya watu wa Mombasa wamejiandikisha kwa SHA. Bado mko karibu 30%. Kwanza nyinyi ambao mnanisikiza hapa mmejiandikisha kwa SHA kweli? Eh.
Hebu nione wale wamejiandikisha kwa SHA wainue mkono. Eh, unaona bado iko maneno hapa kidogo? Eh, nyinyi tafadhali kila mmoja wenu mjiandikishe kwa SHA. Ukijiandikisha kwa SHA tutafanya, tutapata nafasi ya kufanya mambo matatu: ya kwanza, tutapanga madawa ya kutosha; ya pili, tutapanga madaktari wa kutosha; na ya tatu, tutapanga vifaa ambayo itatumika hospitalini kuwatibu ya kutosha. Usipojiandikisha, unafanya kazi yetu ya kupanga madawa, madaktari pamoja na vifaa vya kutibu wananchi kuwa ngumu. We need data. Tunahitaji data ya kuhakikisha kwamba kila mwananchi tuko na wananchi kiasi fulani, hospitali fulani tuko na wananchi kiasi fulani, sehemu fulani ndio tuweze kupanga mambo ya madawa, mambo ya matibabu. Jameni, mtanisaidia kuhamasisha wale wananchi wote wengine wajiandikishe kwa SHA. Nawaomba, kwa sababu ni faida kwenu. Mkishajisajili, ndio tuweze kutembea hiyo barabara tukiwa pamoja. Mimi vile vile, ningependa kusema ya kwamba sisi tunaelewa ya kwamba tuko na nafasi chache za ajira, na tulikubaliana na nyinyi ya kwamba tutakuwa na mpango wa vile tutapata nafasi na kupanua nafasi ya ajira kwa vijana wetu wa Kenya. Zaidi ya vijana milioni moja wanatoka shuleni kila mwaka, na hatujakuwa na mpango kamili wa vile hawa vijana wetu watapata kazi, kwa sababu kupatikana kwa kazi lazima kuwe na mpango, lazima kuwe na taratibu, lazima kuwe na sehemu hawa vijana watapata kazi. Na ndio tulikubaliana tufanye mambo manne ya muhimu ndio nafasi ya vijana wapate kazi. Number one, tuwe na program kubwa ya public infrastructure inayohusika na mambo ya housing, kujenga masoko, kujenga hostels, barabara, public infrastructure. Na hiyo kazi inaendelea. Na kupitia kwa hiyo mpango ya affordable housing, mkienda wale ambao mna relatives Nairobi na counties na town zingine zetu zote, saa hizi tunajenga nyumba 300,000 Kenya. Tumeajiri vijana zaidi ya 700,000 katika hiyo mpango. Masoko ndio hiyo tunajenga. Hostels ya vijana wetu ndio hizo tunajenga ili tuhakikishe kwamba nafasi ya ajira inapatikana. Mimi nimekuwa Belgium kuongea na watu wa EU, kwa sababu tuko na nafasi kubwa ya mambo ya business process outsourcing, ama kazi ambayo inapatikana katika mitandao. Tayari vijana 3,000 wanafanya kazi hiyo. We want, tunataka kuongeza vijana wanaofanya kazi pale wafike milioni moja. Na ndio sababu hiyo nilienda kuongea na watu wa EU, kwa sababu kuna kitu inaitwa data adequacy ambayo tumekuwa tukiongea na wao ndio tuwe na mpango ya kutosha. Kenya na European Union tumekubaliana na wao kufikia mwezi wa tisa hiyo kazi itasonga mbele, kufikia Januari next year tutakuwa tumeikamilisha, ndio tupanue nafasi ya vijana wetu ambao wanafanya kazi katika mitandao, digital jobs, digital commerce, business process outsourcing, ndio tuhakikishe kwamba teknolojia na kazi ambayo ya future, unajua ajira za siku zijazo itakuwa inategemea teknolojia, itakuwa inategemea sehemu ya digital, na Kenya haiwezi kubaki nyuma. So um, we have now concretized agreement between Kenya and the European Union. When I was there in Brussels, we have agreed on data adequacy that this will go to the European Parliament in the course of this the next two three months, and hopefully we can clear it by early next year so that we can expand the opportunities in our digital commerce, in data centers, deploying technology, so that we can create more opportunities for the young people of Kenya to work, including those from Marsabit. Nyinyi mnanielewa jameni? So hiyo kazi yote tunaendesha, na ni haki yenu kujua kama mtu ambaye mlinipatia nafasi hii ya kuwa kiongozi wa taifa letu, ni vizuri niwaeleze ni kazi gani inaendelea, si ndio? So hiyo ndio kazi ambayo tulishirikiana na nyinyi na nikawaeleza tutabadilisha taifa letu la Kenya. Mimi nataka niwahakikishie, taifa letu la Kenya litabadilika. I am very confident, hii Kenya itakuwa nchi ya maana sana. Na mkisikia ya kwamba tutakuwa first world in the next generation, msikuwe na wasiwasi, tutakuwa first world. Yes. Sikizeni. Nilikuwa nilienda juzi nilikuwa Norway, na nikapata nafasi ya kuongea na Prime Minister wa Norway. Nikapata nafasi ya kuongea na Waziri wa Fedha wa Norway. Norway ni nchi ambayo iko na sovereign fund ya trillion. Na hiyo sovereign wealth wamejenga. Saa hizi katika Kenya tunamalizia kujenga Sovereign Wealth Fund ya Kenya. Pengine nitaweka sahihi in the next one month or two months, ndio sasa hata sisi tuanze kujipanga vile wengine walijipanga kutafuta utajiri ambayo itatusaidia kuendesha miradi yetu ya maendeleo na kuondoa umaskini katika taifa letu la Kenya. Mnanielewa? Kwa sababu najua, uongozi ni kitu ya muhimu. Wale walijipanga leo. Nchi ya South Korea, nchi ya Singapore, nchi hiyo ya Norway, nchi ile ingine ya Malaysia walikuwa pamoja na sisi miaka 60 iliyopita. Leo wako first world, bado sisi tunang'ang'ana huku chini. Tofauti ni uongozi. So tukijipanga vizuri na tuamue mambo vizuri, hii Kenya tutaibadilisha. Na ni nia yangu kuhakikisha kwamba tunabadilisha hii Kenya. Unajua, watu wengi hawakuamini. Ndio mlikuwa mnasikia wanasema oh huyu William Ruto anatuambia uongo, sijui anatuambia uongo. Walisema haiwezekani kuajiri walimu vile nilisema tutaajiri. Leo tumeajiri walimu 100,000. We have transformed our education the same way I had committed. Niliwaeleza ya kwamba tutabadilisha kilimo, hawakuamini wakasema eti ni uongo. Leo kilimo imebadilika. Walisema ya kwamba mambo ya SHA, mambo ya universal health coverage haiwezekani, ati ni uongo. Leo kwa macho yetu watu milioni 31 wako ndani ya SHA, inabadilika. Ni kweli ama si kweli? Yes. So mimi nataka niwahakikishie wale watu wote ambao walikuwa wanaamini ya kwamba haiwezekani, we are going to prove to them that it is possible to change our nation. Tunaelewana jameni? Yes. Hawakuamini ati tunaweza kubadilisha kilimo. Leo kilimo imebadilika. We have done what no other administration has done. We've hired enough teachers. We've changed the funding model. We built more classrooms. We've straightened CBC. We are moving forward as a country. So I just want to assure this great nation of ours, including the great people from Marsabit, that we are going to change our nation. Wale ambao walikuwa wananiita majina, kuna siku watakuja kusalimu amri, si ndio? Yes. Wengine waliita Zakayo, sijui Zakayo. Sasa hiyo Zakayo waliniita, si watu vijana 640,000 wanafanya kazi kwa affordable housing? Si tunajenga soko 500 Kenya? Si tunajenga hostels ya vijana wetu 180? Tuendelee ama tuendelee?